[caption id="attachment_19225" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akisisitiza jambo wakati akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli Aaliyoitoa hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_19228" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_19231" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibu. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus. (Picha na: Frank Shija)[/caption]