Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), Dkt. Qu Dongyu wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
Read More