[caption id="attachment_37050" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akiwa na Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Profesa Aime Ngoi-Mukena (kulia) na Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini DRC, Michael Sereki.[/caption]
Na Teresia Mhagama
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amekutana na Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Profesa Aime Ngoi-Mukena ambapo wamejadiliana kuhusu utekelezaji wa makubaliano yaliyoingiwa siku za nyuma ya ushirikian...
Read More