Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege, Abdallah Said Ali, baada ya kuifunga Timu ya Simba bao 1-0 , katika mchezo wa fainali uliofanyaka katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 13-1-2024.
Read More