[caption id="attachment_27808" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (wa Nne kushoto) akikagua maeneo ambayo miundombinu ya usafirishaji umeme inajengwa kuelekea katika eneo la Mto Rufiji utakapotekelezwa mradi wa Stiegler's Gorge wa megawati 2100. Wa Tatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo na wengine ni watendaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO.[/caption]
Na. Teresia Mhagam, Nishati
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ame...
Read More