[caption id="attachment_50339" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia Wafanyakazi wa Ofisi wa Taifa ya Takwimu alipokuwa akifungua Mkutano wa Tatu wa Baraza la Tano la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo uliofanyika kwenye leo tarehe 23 Januari, 2020 Jijini Dodoma.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Wamiliki wa Viwanda nchini wametakiwa kutoa ushirikiano wa kutosha katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ili kukuza sekta hiyo amba...
Read More