Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza wakati alipokutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Kipronoh Cheptoo, anayesimamia nchi nane za Kiafrika katika Benki hiyo, ambazo ni Tanzania, Kenya, Ethiopia, Rwanda, Seychelles, Sudan Kusini, Eritrea na Uganda, alipomtembelea jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba.
Na Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ameis...
Read More