Rais Mhe. Samia Azungumza na Mabalozi Wanaowakilisha Nchi Zao Hapa Nchini Pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao
Jan 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.