[caption id="attachment_50429" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Wawakilishi kutoka kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati akifungua kikao kazi cha siku mbili kuhusu usimamizi na udhibiti wa rasilimali madini uliofanyika Januari 25, 2020 Jijini Dodoma.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Serikali imedhamiria kuwa na mikakati endelevu ya kusimamia na kudhibiti rasilimali madini ili ilete tija iliyokusudiw...
Read More