[caption id="attachment_26669" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara ,jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_26670" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri, akizungumza na Naibu Waziri wa Ma...
Read More