[caption id="attachment_26688" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu, Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Picha na Ikulu)[/caption] [caption id="attachment_26682" align="aligncenter" width="750"] WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Kisasa la Kinyasini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_26683" align="aligncenter" width="750"] JENGO jipya la Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26685" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja kulia Waziri wa Kilimo Mifungo Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohamed na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu Bunge Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu. Mhe. Jenista Mhagama.[/caption] [caption id="attachment_26686" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Soko Jipya la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.[/caption]