Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Masauni Akutana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania
Jan 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26669" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara ,jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26670" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,(kushoto) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Kuwait na Tanzania katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi