Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati walipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea kwa ziara, Januari 2, 2022. Kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Songea Mjini, Dkt. Damas Ndumbaro, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Oddo Mwisho na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Meja Jenerali Wilbert Ibuge waka...
Read More