Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Meja Jenerali Wilbert Ibuge wakati alipowasilisha Taarifa ya Maendeleo ya Mkoa huo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea kwa ziara mkoani Ruvuma, Januari 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma baada ya kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Mkoa huo kwenye uwanja wa ndege wa Songea, Januari 2, 2022. Wa pili kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakiagana na viongozi wa Wilaya ya Ruangwa kabla ya kuondoka wilayani humo kuelekea Songea kwa ziara Mkoani Ruvuma, Januari 2, 2022.