Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akizungumza katika kikao cha ugeni wa Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafiri na Utalii kutoka Serikali ya Japani, Mhe. Konosuke Kokuba, kilichowakutanisha wataalamu wa Sekta za Ujenzi, jijini Dar es Salaam.
Read More