Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Afungua Skuli ya Tumekuja
Jan 09, 2024
Rais Dkt. Mwinyi Afungua Skuli ya Tumekuja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Na Ikulu - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa tatu  kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na viongozi mbalimbali wakishuhudia.

 

Wanafunzi wa Skuli mpya ya Tumekuja wakiwa katika chumba cha Maabara wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea madarasa mbalimbali baada ya  kuifungua   Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) alipotembelea darasa Kompyuta na kuwasalimia wanafunzi baada ya  kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (pichani kushoto)  alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe. Leila Mohamed Mussa, Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar, Komred Khamis Mbeto 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi