Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) alipokwenda katika Hospitali ya Bugando kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Januari 11, 2022 katika Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakati wakielekea kwenye ziara ya kukagua miradi na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel.
Immaculate Makilika na Prisca Ulomi, Mwanza
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewajulia hali majeruhi wa ajali ili...
Read More