Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Januari 16, 2022. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Mosses Kusiruka na kulia kwake ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali, Rajabu Mabele
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 16, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu inayojengwa katika eneo la Chamwino, Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na kasi ya ujenzi na ubora wa majengo hayo na amemtaka Mkandarasi ahakikishe mradi huo unakamil...
Read More