Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi, kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Balozi wa Tanzania U.A.E, Mama Balozi Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhani, wakiwa katika chumba cha Viongozi VIP