Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa Chakula Zanzibar (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Mipango Zanzibar), Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2023.
Read More