Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Chakula, Roma Italia
Oct 16, 2023
Majaliwa Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Chakula, Roma Italia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO), Dkt. Qu Dongyu alipowasili kwenye makao makuu wa shirika hilo kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo, Rome, Italia Oktoba 16, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi