Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Twiga Stars, Joyce Lema kitita cha shilingi milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia ushindi waliopata dhidi ya timu ya Ivory Coast. Tukio hilo limefanyika Oktoba 02, 2023 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Read More