Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Ngazi ya Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na Tarafa zake tano, Kata 36 na Vijiji 106 baada ya kufunga mafunzo yao ya siku mbili yaliyohusu kuwapitisha kwenye Mpango wa Taifa wa Uhamasishaji na Kusimamia Maendeleo Ngazi ya Msingi wa 2022/2023 hadi 2025/2026.
Read More