Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akitoa maelekezo kwa Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Arch. Edwin Nnunduma (hayupo pichani), wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea Taarifa ya Utendaji wa Bodi hiyo, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Oktoba, 2023.
Read More