[caption id="attachment_34586" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akizungumza katika kikao baina yake na viongozi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Seriikalini (TAGCO) na Idara ya Habari –MAELEZO wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Afisa Tehama wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Ger...
Read More