Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maafisa Habari Wasisitizwa Mawasiliano Kupitia Mitandao ya Kijamii
Aug 30, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34586" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akizungumza katika kikao baina yake na viongozi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Seriikalini (TAGCO) na Idara ya Habari –MAELEZO wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Afisa Tehama wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami. Kutoka kulia ni Mjumbe wa TAGCO, Innocent Byarugaba,Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika, Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami na Kaimu Mkuuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mkoa wa Tabora, Frank Lema.[/caption] [caption id="attachment_34587" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO,Bi. Zamaradi Kawawa akielezea jambo walipokutana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema katika ziara ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Kaimu Mkuuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mkoa wa Tabora, Frank Lema, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami.[/caption] [caption id="attachment_34588" align="aligncenter" width="750"] Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Bi. Sarah Kibonde Msika akifafanua jambo katika kikao baina ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe Afisa Tehama wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa(katikati).[/caption] [caption id="attachment_34589" align="aligncenter" width="750"] Mweka Hazina Msaidizi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Gerald Chami akielezea jambo katika kikao baina ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Idara ya Habari – MAELEZO na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema(wapili kulia) wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa TAGCO, Innocent Byarugaba,Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, na Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika .[/caption] [caption id="attachment_34590" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Ignas Mjwahuzi(kulia)akielezea jambo mara baada ya kikao baina yake na viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya TAGCO, Innocent Byarugaba,Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema na Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika .[/caption] [caption id="attachment_34591" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Innocent Byarugaba akisisitiza jambo katika kikao baina ya viongozi wa Chama hicho, Idara ya Habari – MAELEZO na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema (katikati) wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, na Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika .[/caption] [caption id="attachment_34592" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO, wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari na Mawasiliano katika mikoa ya Kanda ya Kati jana mkoaniTabora. (Picha zote na: Frank Shija- MAELEZO, Tabora)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi