Na Zuena Msuya, Arusha.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa mwezi mmoja kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa vijiji vyote vilivyopo katika Jiji la wa Arusha vinaunganishwa na huduma ya umeme.
Dkt. Kalemani alitoa agizo hilo jijini Arusha baada ya kukagua utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini (REA III) katika Vijiji vilivyopo jijini humo na kujionea hali ya ukosefu wa nishati ya umeme.
Dkt. Kalemani alisema kuwa, Wananchi hawafurahii kucheleweshewa kupata huduma ya umeme hali ya kuwa wengine walikw...
Read More