Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaratibu maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani, yatakayofanyika Jumatatu ya tarehe 01 Oktoba, 2018 ambapo wadau na wananchi watashiriki ikiwa ni pamoja. Maadhimisho hayo yatatanguliwa na Salamu za Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William V. Lukuvi zitakazorushwa na Luninga ya TBC zikipeleka ujumbe huo kwa wananchi.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia makazi duniania (UN Habitat) hutoa kaulimbiu itakayoongoza tafakari ya kila mwaka. Mwaka huu, 2018 maadhimisho hayo yataon...
Read More