Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (kulia) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa leo Oktoba 21, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akihitimisha Tamasha la Michezo kwa Wanawake (Tanzanite Women Sports Festival),
Read More