[caption id="attachment_37318" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, akitoa taarifa ya utangulizi kuhusu hali ya upatikanaji wa vifaa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Awamu ya Tatu wa usambazaji umeme vijijini kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua.[/caption]
Na: Teresia Mhagama, Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amesema kuwa katazo la Serikali la kuagiza nje ya nchi vifaa vya kujengea miundomb...
Read More