Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Mafunzo, Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC), Mweya Didacus, wakati alipokagua mabanda, katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), kwenye ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2023.
Read More