[caption id="attachment_40999" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo maalum, baada ya Mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika Mashariki, Abidjan, Ivory Coast.[/caption]
Na Farida Ramadhani, WFM, Abidjan
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maedeleo ikiwemo mindomb...
Read More