[caption id="attachment_41358" align="aligncenter" width="640"] Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mhe. Mohammed Bin Abdulrahman Al-Thani, amewasili nchini na kupokelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, jana tarehe 20 Machi, 2019. Mhe. Al-Thani atakuwa nchini kwa siku moja ambapo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kabla ya kuondoka kuelekea Rwanda