Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama (aliyenyoosha mkono) akizungumza na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati wakiendelea na zoezi la uokoaji wa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope yaliyotokea tarehe 03 Disemba, 2023 mkoani Manyara. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (mwenye koti la bluu)
Read More