Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na uvivu pamoja na kuimarisha nidhamu kwa viongozi na watendaji wa ngazi zote katika kuwahudumia wananchi.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itahakikisha wafanyabiashara na wajasiriamali wanaendesha biashara zao kwa kufuata sheria, kanuni na miongozo iliyopo pamoja na kujenga tabia ya kuona fahari kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Aprili 4, 2019) wakati akiwasilisha hotuba kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi...
Read More