[caption id="attachment_42675" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.[/caption]
[caption id="attachment_42676" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha akiomba Bunge liunge mkono Hoja ya Bajeti ya Wizara Maji kwa Mwaka wa Fedha 2...
Read More