Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Mohammed Khamis Abdulla akimkabidhi sheria na kanuni mbili Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Balozi Adadi Rajabu ikiwa ni nyenzo zitakazoiwezesha tume hiyo kuanza kazi rasmi mnamo Januari, 2024
Read More