*Miss Tanzania 2019 aahidi kutumia kiswahili mashindano ya Miss World
[caption id="attachment_46688" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Septemba 11.2019.[/caption]
Na: Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka Miss Tanzania 2019, Sylivia Bebwa (19) ahakikishe anakuwa balozi mzuri wa kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini, shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali na...
Read More