Na. Immaculate Makilika
Taasisi, Makampuni yenye hisa chache za Serikali na Mashirika ya Umma 187 yamepewa siku 60 ili yawaweze kutoa gawio na mchango kwa Serikali, baada ya kushindwa kufanya hivyo leo.
Akizungumza Ikulu jijini Dodoma, katika hafla ya kupokea gawio na michango kutoka katika Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 79 kati ya 266 ambayo ni shilingi trilioni 1.05, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo leo kuwa anatoa siku 60 kwa Mashirika 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali...
Read More