[caption id="attachment_51576" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mbunifu Majengo, Daud Kondoro, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa Wakala, kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi za Serikali katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.[/caption]
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeutaka Wakala wa Majengo (TBA) kuweka hifadhi ya mazingira rafiki na ya kuvutia kwa kupanda miti ya kivuli na matunda katika mji mp...
Read More