Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kufungua majengo mapya na upanuzi wa huduma katika Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita akiongozana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo leo Jjumatano Januari 27, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuliakisalimiana na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe leo Jjuma...
Read More