Na Beatrice Sanga - MAELEZO
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, imekuwa ikiimarisha juhudi za utangazaji wa vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi tangu Taifa lilipopata Uhuru Mwaka 1961, na kuifanya sekta hiyo kuwa na umuhimu katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Wananchi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 30, 2021 Jijini Dodoma, Naibu Waziri huyo amesema Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ikiwemo kutumia ofisi za Balozi...
Read More