Na Salum Pazzy - LATRA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amesema mfumo wa Tiketi Mtandao, utaanza kutumika rasmi Aprili, mwakani.
Amesema hatua hiyo inatokana na kupatiwa ufumbuzi kwa changamoto mbalimbali zilizolalamikiwa na wadau wa sekta hiyo.
Waitara alibainisha hayo jijini Dar es Salaam leo Disemba 20, 2021 katika kikao maalumu cha kupokea taarifa ya kamati ndogo iliyoundwa Julai, mwaka huu, kubainisha changamoto za mfumo wa Tiketi Mtandao na kupendekeza jinsi ya kuzitatua.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri huyo,...
Read More