Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akizindua kampeni maalum ya #MARA100ZAIDI ya kampuni ya Star Times. Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Januari 6, 2022 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Na Mwandishi Wetu - WUSM
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amezindua kampeni maalum ya #MARA100ZAIDI ya kampuni ya Star Times kupitia ving'amuzi vyake ambayo imesheheni vipindi na chaneli mbalimbali ndani yake za kuonesha kazi za sanaa, michezo na utamaduni.
Dkt. Abbasi...
Read More