Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.
Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.
Sehemu ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri...
Read More