Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu
Feb 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan mara baada ya kuwasili Abu Dhabi leo tarehe 25 Februari, 2022.