Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto, wakisaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada yenye thamani ya shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada yeny...
Read More