Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga (SHIUMA), Ernest Matondo akitoa shukrani kwa niaba ya Wamachinga kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula (mwenye ushungi) kwa kuendesha kikao kilichoazimia kutatua changamoto za Wamachinga nchini. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Amon Mpanju.
Na WMJJWM, Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Shirikisho la Umoja wa Wamachinga (SHIUMA), imeazimia kuha...
Read More