Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akichaangia jambo wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Kazi na Ajira kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) leo tarehe 30 Machi, 2022 Lilongwe, nchini Malawi.
Na. Lusajo Mwakabuku, OWM-KVAU Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka wajumbe wa mkutano wa Nchi Wanachama wa Ju...
Read More