Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kati yake na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya ABSA Afrika, Bw. Saviour Chibiya, jijini Dodoma.
Na. Peter Haule, Saidina Msangi, WFM, Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametoa rai kwa sekta binafsi nchini kushiriki katika miradi mbalimbali ya maendeleo ili kutoa nafasi kwa Serikali kutoa huduma kwenye maeneo ambayo sekta binafsi haiwezi kufika.
Alitoa rai hiyo jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtenda...
Read More